Wachimbaji wadogo wa dhahabu wanufaika na kituo cha mfano cha Rwamgasa mkoani Geita
Kurugenzi wa kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya Hexad Bw. Fortnatus Luhemeja akitoa maelezo kwa Meneja Masoko na Uhusiano wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Bw. Geofrey Meena wakati alipotembelea mgodi huo kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa mgodini hapo. Mgodi wa Hexad ni miongozi mwa wanufaika wa kituo cha Mfano cha…